Wakazi wa eneo bunge la Kipkelion Mashariki wapata umeme

  • | Citizen TV
    308 views

    Kampuni ya umeme Kenya power imeanza Kuunganisha stima katika Eneo Bunge la Kipkelion Mashariki. kwenye uzinduzi wa mradi huo katika kijiji cha Cheboror wadi ya Chepseon, maafisa wa Kenya Power waliwahakikishia wakazi kuwa hivi karibuni wataunganishwa kwenye gridi ya taifa na kuwawezesha kujiinua kiuchumi kutumia biashara mbalimbali. Mpango huo unatarajiwa kuboresha maisha ya wakazi kwa kuwezesha upatikanaji wa huduma muhimu.