- 279 viewsDuration: 2:36Baadhi ya viongozi wa chama cha UDA sasa wanawahimiza wakazi wa kaunti ya Garissa kuunga mkono serikali ya Kenya Kwanza ili kunufaika na miradi zaidi ya maendeleo . Viongozi hao wakiongozwa na naibu kiongozi wa chama hicho pia wametoa wito kwa wakazi kujiepusha na siasa za mgawanyoko. Viongozi hao walizungumza katika hafla ambapo aliyekuwa gavana wa kaunti ya Garissa Ali Korane ametangaza rasmi kuwa atagombea kiti hicho katika kinyanganyiro cha mwaka 2027 kupitia chama cha UDA. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive