Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Jebi, Nyahururu walalamikia mauaji ya mwenzao

  • | KBC Video
    333 views
    Duration: 3:34
    Barabara ya kutoka Nyahururu kuelekea Rumuruti ilifungwa kutwa leo huku wakazi waliojawa na ghadhabu wa mji wa Jebi wakiandamana wakidai haki kwa mwanamke aliyeuawa kinyama katika hali tatanishi. Susan Nyambura mwenye miaka 23, almaarufu Maggie, alitoweka tarehe 19 mwezi Oktoba mwaka huu, na mwili wake ukapatikana baadaye katika shamba la mahindi. Wakazi hao waliolalamikia kudorora kwa usalama katika eneo hilo wanawalaumu maafisa wa usalama kwa utepetevu katika kushughulikia hali hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive