Wakazi wa Kajiado wanaoishi kwenye maeneo ya mito wahimizwa kuhama katika kipindi cha mvua

  • | NTV Video
    74 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado imewaamrisha wakaazi wanaoishi kwenye maeneo ya mito kuhama katika kipindi hiki cha mvua ili kuepuka madhara kuhusu mafuriko yaliyoshuhudiwa miaka iliyopita na maafa kutokea.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya