Wakazi wa Kajiado washauriwa kuhama kufuatia hofu ya mafuriko

  • | KBC Video
    48 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado imetoa tahadhari ya mafuriko na kuwashauri wakazi wanaoishi katika nyanja za juu kuhamia maeneo salama kufuatia mwanzo wa mvua ya masika ya mwezi Aprili. Wakati wa mkutano uliohudhuriwa na maafisa wa Manispaa ya kaunti ya Kajiado pamoja na wadau wengine, ilibainika kuwa watu wanaoishi karibu na chemichemi za maji watahamishwa kwa lazima ili kuepusha maafa yanayosababishwa na mafuriko jinsi ilivyoshuhudiwa kwenye miaka ya awali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive