Wakazi wa kijiji cha Nikapu, Lungalunga, wadai fidia

  • | Citizen TV
    196 views

    Wakaazi wa kijiji cha Nikapu katika wadi ya Pongwe-Kikoneni eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wametaka serikali kuu kuharakisha kuwalipa fidia ya ardhi iliyotwaliwa na serikali na kukodishwa kwa mwekezaji