Wakazi wa kijiji cha Nyakwerema waandamana kulalamikia hatua ya mkazi mmoja kujenga ua kwa barabara

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakazi wa kijiji cha Nyakwerema wadi ya Kiabonyoru kule Borabu katika kaunti ya Nyamira, wameandamana kulalamikia hatua ya mkazi mmoja kujenga ua na kufunga barabara ya umma kijijini humo.