Wakazi wa Likoni walalamika kuwa wamekosa umeme kwa siku nne

  • | Citizen TV
    280 views

    Wakazi wa Vyemani eneo la Shika Adabu huko Likoni kaunti ya Mombasa wanalalamika ukosefu wa umeme kwa muda wa siku nne mfulululizo