Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Makongeni wapewa ilani ya siku tano kuondoka huku ubomoaji ukianza

  • | Citizen TV
    5,413 views
    Duration: 3:10
    Wakazi wa Makongeni wamepewa ilani ya siku tano kuondoka katika mtaa huo huku mipango ya ubomoaji ikishika kasi. Wale ambao tayari wamepokea fidia wameanza kuhama kabla ya mwisho wa notisi ya kuondoka. Hata hivyo, baadhi ya wakazi wa muda mrefu, wengi wao wakiishi eneo hilo kwa zaidi ya miongo sita, bado wana wasiwasi, wakiishutumu serikali kwa kuvuruga maisha yao. Serikali inasisitiza kuwa wakazi watapewa fursa ya kwanza kununua nyumba za nafuu ujenzi ukikamilika