Wakazi wa Matungu waandamana kulalamikia hali ya usalama

  • | Citizen TV
    331 views

    Wanasema visa vya usalama vimekithiri eneo hili Wakazi walaumu polisi kwa utepetevu wa hali hii