Wakazi wa Membley wapinga ujenzi wa kampuni ya asphalt

  • | NTV Video
    170 views

    Wakazi wa Membley eneo la Ruiru kaunti ya Kiambu wamepinga ujenzi wa kampuni ya asphalt inayotarajiwa kutengeneza bidhaa zinazotumika wakati wa ujenzi wa barabara na mabwawa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya