Wakazi wa Migori watakiwa kulinda mradi wa kilimo wa Nyatike

  • | Citizen TV
    104 views

    Polisi kwa ushirikiano na ofisi ya mamlaka ya kitaifa ya umwagiliaji maji mashamba wameanzisha uchunguzi kuhusu jaribio la uharibifu wa milango katika kituo cha maji Cha mradi wa kilimo wa Lower Kuja huko Nyatike kaunti ya Migori.