Wakazi wa mtangawanda huko pate lamu wapata ajira

  • | Citizen TV
    228 views

    Wakazi wa Mtangawanda Kisiwa cha Pate kaunti ya Lamu wameanza kutumia miti ya mikoko kujipatia ajira .Hii ni baada ya kuunda daraja kwenye Mmisitu ya mikoko litakalotumiwa  na watalii kuvuka na kutalii misitu hiyo. Rahma Rashid anaarifu zaidi