Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Muraka wataka matuta ya barabarani yajengwe

  • | KBC Video
    366 views
    Duration: 1:24
    Wakazi wanaosihi katika eneo la Muraka kando ya barabara kuu ya kutoka Kakamega kuelekea Kisumu wanaitaka serikali kujenga matuta ya barabani ili kupunguza ajali za barabarani. Wanasema watu wengi wamepoteza maisha katika eneo hilo huku watu -10 wakiripotiwa kuaga dunia mwaka huu pekee. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive