Wakazi wa Mwea watapumua baada ya miezi ya kuhangaishwa na tembo wakorofi watokao hifadhi ya Embu

  • | NTV Video
    56 views

    Wakazi wa Gitaru, Kamburu Mwea watapumua baada ya miezi ya kuhangaishwa na tembo wakorofi watokao hifadhi ya Embu.Shirika la huduma za wanyama pori KWS limeanza shughuli ya kuwahamisha tembo hao wapatao 50 hadi katika mbuga ya kitaifa ya Aberdare ili kupunguza mgogoro kati yao na binadamu

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya