Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Njoro, Nakuru waishi kwa hofu baada ya miili kupatikana mtoni na vichakani; waomba usalama

  • | TV 47
    104 views
    Duration: 2:16
    Wakazi wa Kenyatta, Njoro wanafyeka vichaka. Mili imekuwa ikipatikana kwenye vichaka eneo hilo. Mili minne imeopolewa kutoka kwenye mto chini ya miezi 2. Wakazi waomba hatua za haraka kudhibiti usalama. Mto Ndarugu wazua hofu kufuatia matukio ya mauaji. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __