Wakazi wa Saika walalamikia ujenzi wa ua

  • | KBC Video
    42 views

    Wakazi wa mtaa wa Bethsaida huko Saika kwenye barabara ya Kangundo wanalalamikia kubomolewa kwa ukuta uliozingira mtaa huo, hatua wanayosema inahatarisha usalama wao. Ubomoaji wa ukuta huo yasemekana unalenga kutoa fursa kwa ujenzi wa barabara mbadala kupitia mtaa huo, kuelekea jumba lililo mkabala. Wakazi hao wenye ghadhabu wanasema ubomoaji huo ulisababisha uharibifu mkubwa na kutaka mamlaka husika kuingilia kati.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive