Wakazi wa Samburu wawahusisha wazee katika uhifadhi wa misitu

  • | Citizen TV
    149 views

    Wakazi wa samburu wamehimizwa kuwahusisha wazee katika shughuli za uhifadhi wa misitu. Mbinu hiyo tayari inatumiwa kulinda msitu wa kirisia ambapo imeonekana kuzaa matunda. Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.