Wakazi wa wasafiri waitaka serikali kukamilisha ujenzi

  • | Citizen TV
    31 views

    Wasafiri wanaotumia kivukio cha Tana na barabara kuu ya kutoka Garissa kuelekea Madogo kaunti ya Tana River sasa wanataka mamlaka ya ujenzi wa barabara kuu nchini KENHA kushurutisha mwanakandarasi aliyepewa kazi ya kukarabati upya barabara hiyo na kujenga kivukio kipya kuharakisha ujenzi huo ili kupunguza msongamano mkubwa wa magari na watu