Wakazi wakumbatia mkondo wa kulinda wanyama kwa lengo la kuongeza idadi yao na kuvutia watalii

  • | K24 Video
    83 views

    katika Jamii ya Maasai,kuua simba na ndovu ilikuwa ni njia moja ya wanarika wa morani kuonyesha ujasiri wao na uwezo wa kulinda jamii,itikadi ambayo ilisababisha kupungua kwa wanyama hao kwa kiwango kikubwa. Jinsi katika hifadhi ya Oasaru-Olosho kaunti ya Kajiado, Morani wamechukua mkondo tofauti, kulinda wanyama hao kwa lengo la kuongeza idadi yao na kuvutia watalii.