Wakazi watoa wito wa kuhifadhi Ziwa Jipe katika kaunti ya Taita Taveta

  • | KBC Video
    40 views

    Huku Kenya ikiunguna na ulimwengu mwezi Februari kuadhimisha siku ya maeneo chepechepe duniani, Ziwa Jipe katika kaunti ya Taita Taveta ambalo ni kitega uchumi kwa wakazi wa sehemu hiyo, huenda likaangamia iwapo hatua hazitachukuliwa kulilinda. Wavuvi na wafanya biashara katika sehemu hiyo ya Taita Taveta sasa wana hofu ya maisha yao kuathirika iwapo ziwa hilo litadidimia. Bernard Maranga atuarifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive