Wakazi wengi wa Migori wataabika wakijisajili

  • | Citizen TV
    245 views

    Wizara ya afya sasa inasema iko mbioni kuhakikisha kuwa vifaa muhimu vya matibabu vinavyohitajika vimefika kwenye vituo vya afya katika miezi miwili ijayo. Haya ni huku wagonjwa wakiendelea kuelezea mahangaiko yao ya kupata matibabu chini ya bima mpya ya sha. Na kama anavyoarifu brenda wanga, bado baadhi yao wanalazimika kulipa pesa taslimu kupata matibabu.