- 302 viewsDuration: 1:37Licha ya kuwa na utajiri mkubwa wa madini, wakazi wengi wa Kaunti ya West Pokot bado wanaishi katika umasikini mkubwa. Hali ya kusikitisha ambayo wakazi wanaieleza kuwa imesababishwa na miaka mingi ya unyonyaji unaofanywa na madalali wenye ushawishi pamoja na ukosefu wa manufaa ya moja kwa moja kutoka kwa rasilimali zao za asili.