Wakazi zaidi ya elfu mbili watapata maji safi kaunti ya Mandera

  • | Citizen TV
    101 views

    Ni afueni kwa wenyeji wa eneo la Banissa kaunti ya Mandera baada ya serikali ya kaunti hiyo kuanza kuboresha miundomsingi ya maji ili kuzalisha maji safi na mengi ya matumizi.