Wakenya 48 waliookolewa na serikali nchini Myanmar wawasili humu nchini

  • | Citizen TV
    1,314 views

    Wakenya 48 Waliookolewa Na Serikali Nchini Myanmar Wamewasili Humu Nchini Huku Wengine 77 Wakisalia Wakisubiri Mikakati Ya Kurejeshwa Ikamilike.