Wakenya kuanza kupokea vitambulisho bila malipo

  • | KBC Video
    372 views

    Serikali imeondoa ada ya shilingi 300 ya kupata vitambulisho vipya, kufuatia agizo la rais William Ruto. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa shughuli ya usajili wa wanaotaka vitambulisho vipya katka eneo la Shabab, kaunti ndogo ya Nakuru magharibi , waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen pia alitangaza kufutiliwa mbali kwa ada ya shilingi 500 inayotozwa wanaotuma maombi ya kwa vyeti vya kuzaliwa. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu alishuhudia uzinduzi huo, na hii hapa taarifa yake

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive