Wakenya milioni 17.8 wasajiliwa SHA

  • | KBC Video
    2 views

    Kufikia sasa, zaidi ya Wakenya milioni 17 wamesajiliwa katika Halmashauri ya Afya ya Kijamii,miongoni mwao milioni 13.2 wakiwa wanachama wapya huku milioni 4.6 wakitoka kwenye iliyokuwa Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya. Wakati uo huo, Wizara ya Afya imeondoa hofu ya upungufu wa dawa zikiwemo dawa za kupunguza makali ya Ukimwi na chanjo ya BCG.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive