- 2,020 viewsRaila Odinga mwanasiasa mashuhuri na mzoefu nchini Kenya aliyepania kunyakuwa nafasi ya uongozi wa kiti cha Tume ya Umoja wa Afrika licha ya umaarufu wake na kampeni kali aliyoifanya alishindwa kushinda uchaguzi huo. Katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia, viongozi wa Afrika walimchagua Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Ali Youssouf, kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Youssouf alishinda nafasi hiyo baada ya kuwabwaga wagombea wengine wawili: Raila Odinga, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, na Richard Randriamandrato, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar. Ungana na mwandishi wa VOA, Kenya Zainab Said akikuletea mtiririko wa mambo mbali mbali yanayo elezwa na wachambuzi na wananchi wa Kenya kuhusu safari ya Odinga ya kisiasa na vipi imeweza kuchangia kuanguka kwake katika uchaguzi huu. Endelea kusikiliza... #AU #umojawaafrika #railaodinga #kenya #addisababa #djibouti #mahmoudaliyoussouf #uchaguzi #mwenyekiti #tume #williamruto #voaswahili
Wakenya waeleza dukuku lao kuhusu Raila Odinga
- - Duniani Leo ››
- 2 Apr 2025 - Health officials and police have scrambled to explain the mix-up, which has appalled political leaders and stoked outrage across the country.
- 2 Apr 2025 - South Sudanese government denies Odinga's claims that First Vice President Riek Machar's wife was also under house arrest.
- 2 Apr 2025 - A private developer obtained the land’s title deed in February.
- 2 Apr 2025 - Ruto fails to keep Judiciary budget promise
- 2 Apr 2025 - Kenya-Sudan trade row deepens as Khartoum denies tea exports
- 2 Apr 2025 - South Sudan is on the verge of war. Uganda stepped in to help by deploying its troops in Juba on realising that escalating conflict could destabilise the world’s youngest nation. The United Nations Mission in South Sudan has warned that the country…
- 2 Apr 2025 - Seven family members perished in a crash at High Peak, near Naivasha town.
- 2 Apr 2025 - A women-only outfit can thrive if it balances legal requirements with advocacy for women’s rights.
- 2 Apr 2025 - Tuju once said that then-DP William Ruto was paid billions of shillings for being Uhuru Kenyatta's running mate in 2013.
- 2 Apr 2025 - Scammed and trapped in Myanmar's dirty digital camps, the daring escape