Wakenya wahimizwa kuwasaidia wenye mahitaji maalum

  • | KBC Video
    20 views

    Wakenya wenye nia njema wamehimizwa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii hasa watu walio na mahitaji maalum. Wito huo ulitolewa wakati wa mchango katika makao ya watoto ya Acts of Hope ambapo walipokea msaada wa chakula na mavazi kutoka kundi la DDB kutoka Machakos.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive