Wakenya Wahimizwa Kuzingatia Upendo Na Umoja Katika Wakati Huu Wa Krismasi

  • | TV 47
    28 views

    Wakenya Wahimizwa Kuzingatia Upendo Na Umoja Katika Wakati Huu Wa Krismasi

    Wakristo kote nchini Kenya wamejiunga na mataifa mengine kuadhimisha sikukuu ya krismasi kwa jumbe za upendo, umoja na tafakari.

    Viongozi wa kidini walitumia siku hii takatifu kutoa wito wa wema, uelewano na amani miongoni mwa wakenya.

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __