Wakenya wahimizwa wachangie ukuzaji talanta za vijana

  • | KBC Video
    15 views

    Mbunge wa Kibra Peter Ochieng Orero ametoa wito kwa wakenya wachangie katika kukuza talanta za vijana hapa nchini ili kuwawezesha kuwa watu wa kutegemewa katika jamii. Alisema hayo wakati wa hafla ya kuchangisha pesa za kusaidia katika ujenzi wa uwanja wa shule ya msingi ya Olympic huko Kibra jijini Nairobi. Mradi huo umeanzishwa na mwanahabari mashuhuri aliye pia msimamizi wa RIG East Africa, Cynthia Nyamai.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive