Wakenya waitaka serikali kufuata katiba

  • | Citizen TV
    485 views

    Maafisa wanaohuduma katika afisi za kiserikali wametakiwa kutokiuka kipengee thelathini Tano Cha katiba,Cha kutoa habari Kwa umma. Hayo yamejiri katika warsha ya kuwahamasisha wananchi na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kwenye Kaunti ya Samburu.