Wakenya walijumuika na Raia wa Uchina kuukaribisha mwaka mpya kulingana na kalenda ya kichina.

  • | Citizen TV
    418 views

    Wakenya walijumuika na Raia Wa Uchina Nairobi, wachina wamekaribisha mwaka mpya wa kalenda yao ushirikiano wa kitamaduni baina ya Kenya na Uchina zahimizwa