Wakenya wameendelea kupinga mapendekezo ya kutoza Ushuru Zaidi

  • | Citizen TV
    772 views

    Chama cha watengezaji bidhaa nchini kinasema kuwa Kenya hupoteza shilingi bilioni tatu kupitia ufisadi kila siku. Badala yake, chama hiki kinasema pesa hizo badala yake zingetumika kukuza sekta hiyo. Kwenye vikao kuhusu mapendekezo ya ushuru zaidi katika jumba la mikutano la KICC, wakenya waliofika wamepinga nyongeza ya ushudu. Chama cha LSK kikiongoza sauti kinzani za ushuru zaidi