- 2,547 viewsDuration: 2:45Mamia ya wakenya wanaoishi na virusi vya HIV, pamoja na wale walio na magonjwa ambukizi, na mashirika mbali mbali waliandamana jijini Nairobi wakitaka matibabu yao kujumuishwa kwenye bima ya kitaifa SHA. Wanasema mzigo wa kugharamia matibabu ya magonjwa umewalemea.