Wakenya wanaotafuta kazi ughaibuni wasema walihadaiwa na waziri Alfred Mutua

  • | Citizen TV
    1,239 views

    Mamia Ya Wakenya Waliotarajiwa Kusafiri Ughaibuni Kwenye Mradi Wa Serikali Wa Ajira Za Ng'ambo, Sasa Wanadai Kuhadaiwa Na Kulaghaiwa Na Wizara Ya Leba. Wakenya Hawa Wakisema Wamesalia Na Makaratasi Tu Ya Kazi Bila Ajira, Zaidi Ya Miezi Sita Baada Ya Kuahidiwa Kuanza Kazi. Walalamishi Waliofika Bungeni Leo Kueleza Madhila Yao, Sasa Wanataka Serikali Kuwarejeshea Fedha Walizolipa Kutafuta Kazi, Kama Emmanuel Too Anavyoarifu.