Wakenya waonekana kukata tamaa na jinsi mchakato wa kujumuisha umma ulivyoendeshwa

  • | TV 47
    273 views

    Kwa siku mbili sasa tangu kuanza kwa mchakato wa ukusanyaji wa maoni kuhusu hatua ya kumng’atua naibu wa rais rigathi gachagua, huenda kuwa wakenya wanahisi kwamba maoni yao hayatazingatiwa kuhusiana na hatua hii. Hii ni kutokana na idadi ndogo ya watu waliojitokeza leo pamoja na jinsi mchakato wenyewe ulivyoendeshwa siku ya jana. Mdadisi wa mausla ya uongozi kevin osido anasema kwamba rais william ruto ana kibarua kikubwa kutokana na baadhi ya wakenya kuhisi kwamba hawajatosheka na utendakazi wake serikalini. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __