Wakenya waonywa dhidi ya kutoa habari za kibinafsi

  • | KBC Video
    19 views

    Wakenya wametaharishwa dhidi ya kubadilishana deta au habari zao za kibinafsi na watu wasiowajua. Deta hizo hutumiwa kutekeleza uhalifu na wizi na hivyo kuwaweka katika hali ya mtanziko. Ujumbe huu ulitolewa wakati wa kampeni ya uhamasisho iliyofanyika kaunti ya Samburu kwa lengo la kuelimisha wakazi kuhusu umuhimu wa kutunza deta na gabari za kibinafsi. Wadau kadhaa wakiwemo maafisa wakuu wa serikali kutoka eneo la Magharibi mwa Kenya walishiriki kwenye kampeni hiyo ya kuhamasisha jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive