Wakenya wapinga vikali pendekezo la kuongeza muhula wa urais kutoka miaka 5 hadi 7

  • | Citizen TV
    28,489 views

    Wananchi Wanazidi Kutoa Hisia Mseto Kuhusiana Na Mswada Wa Kuongeza Muhula Wa Rais Kutoka Miaka Mitano Hadi Miaka Saba. Mswada Huo Unalenga Kufanyia Katiba Marekebisho Ili Kuwawezesha Viongozi Wote Wanaochaguliwa Kuweza Kuhudumu Mihula Miwili Ya Mika Saba Kila Moja Badala Ya Miaka Mitano. Tayari Baadhi Ya Wakenya, Viongozi Wa Dini Na Vyama Vya Kisiasa Vimepinga Mswada Huo.