Wakenya washauriwa kuzingatia usafi wa hali ya juu

  • | Citizen TV
    88 views

    Watu watano wamepoteza maisha yao huku wengine zaidi ya 70 kuripotiwa kuathirika na ugonjwa wa kipindupindu tangu visa hivyo vianze kuripotiwa maeneo kadhaa nchini