Wakenya watatu wanazuiliwa nchini Madagascar kwa madai ya kufanya uvuvi haramu nchini humo

  • | TV 47
    62 views

    Familia moja kutoka Tana River imeitaka serikali kuwasidia kumwokoa mtoto wao ambaye anazuiliwa nchini madagascar kwa miezi mitatu sasa. Familia ya mbarak awadh mbarak inasema kuwa mwanao alikuwa mvuvi na kampuni moja ambayo imemtelekeza baada ya meli kuzuiwa eneo hilo. Babake mbarak ameilaumu mamlaka ya bahari kenya, idara ya uvuvi na wizara ya masuala ya kigeni kwa kufeli kumsaidia ili mwanawe arejeshwe nchini. Mbarak ni miongoni mwa wakenya watatu ambao wamezuiliwa nchini madagascar kwa madai ya kufanya uvuvi haramu. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __