Wakenya wengi waingia kwenye Viutravel kuvinjari

  • | Citizen TV
    1,040 views

    Huku Msimu Wa Likizo Ukikaribia, Shughuli Za Utalii Nchini Zimeanza Kuongezeka. Washikadau Katika Sekta Hii Wakiwahimiza Wakenya Kuzuru Vivutio Mbalimbali Vya Hapa Nchini, Wakisema Ni Fursa Bora Ya Kupumzisha Nafsi Na Kuburudika. Afisa Mkuu Wa Viutravel, Katika Hafla Ya Kuzindua Ushirikiano Kati Ya Viutravel Na Bustani Ya Nkasiri, Katika Kaunti Ya Kajiado. Musa, Ameeleza Kwamba Huu Ni Wakati Mwafaka Wa Wakenya Kuvinjari.