Wakenya zaidi walalamikia kuhadaiwa na wizara ya leba

  • | Citizen TV
    522 views

    Wakenya zaidi wamejitokeza kuelezea walivyohadaiwa na kuwachwa njia panda kwenye mpango wa serikali wa kuwatafutia ajira ughaibuni. Miezi sita baadaye, waliosimulia masaibu wanadai kulipa maajenti walioidhinishwa na serikali pesa kwa maandalizi ya kazi za ng'ambo ambazo hadi leo hawajaziona. Na kama Emily Chebt anavyoarifu, baadhi ya waathiriwa wanasema walilazimika kuuza mali zao kwa matumaini ya kazi hizi za ng'ambo