Wakereketwa wajenga nyumba za kuwasitiri waliohepa ukeketaji Kuria

  • | Citizen TV
    102 views

    Wakereketwa wanaopinga dhulma dhidi ya mtoto msichana katika Maeneo ya kuria kaunti ya Migori wameanza mchakato wa kujenga makazi ya kimbilio kwa mtoto wa kike anayehepa ukeketaji.