Wakereketwa wapigia upatu sera mpya ya kumaliza ukeketaji

  • | Citizen TV
    44 views

    Wakereketwa wa kupinga ukeketaji Kaunti ya Narok wamepigia upatu kuzinduliwa rasmi kwa mchakato wa Udhibitisho wa Sera mpya dhidi ya mila hiyo potovu