Wakili Judy Thongori aandaliwa ibada ya wafu jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    382 views

    Viongozi Mbalimbali, Wadau Wa Sekta Ya Sheria Na Mawakili Wanahudhuria Ibada Ya Wafu Ya Kumpa Mkono W Aburiani Wakili Judy Thongori Katika Kanisa La Nairobi Chapel Hapa Jijini Nairobi. Thongori Alisifika Katika Sekta Hiyo Kwa Mchango Wake Mkubw Akwenye Sheria Zinazohusu Haki Za Watoto, Ndoa Na Urithi Kwa Wanawake.