Wakili Judy Thongori aombolezwa na mawakili na familia

  • | Citizen TV
    442 views

    Wakili Judy Thongori aliyesifika kwa mafanikio yake kwenye kesi za kutetea familia na kupigani haki za wanawake na watoto ameombolezwa na mawakili wenzake sawia na wadau wa sekta ya sheria kufuatia kifo chake Jumanne jioni.