Wakili tajika Judy Thongori afariki India

  • | KBC Video
    309 views

    Wakili mashuhuri wa maswala ya kifamilia na mwanaharakari wa haki za binadamu Judy Thongori ameaga dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Jopo la mawakili wakuu kwenye taarifa lilisema kuwa Thongori aliaga dunia jana jioni alipokuwa akitibiwa nchini India, ambako alikuwa amesafirishwa kwa matibabu ya dharura.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive