Kambi ya wakimbizi ya Mulongwe iko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Baada ya mwaka mmoja kukiwa hakuna wakimbizi wa Burundi wanaorejea nchini kwao, siku ya Alhamisi shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) liliwarejesha wakimbizi 278 walirejeshwa Burundi kutoka kambi ya Mulongwe.
Wengi ya wakimbizi waliorejeshwa waliripoti kuwa mivutano kati yao na wenyeji wa Congo ilikuwa ni sababu kuu ya uamuzi wao kurejea nyumbani, wakati wengine waligusia kusikia kuwa usalama umerejea nchini Burundi.
Wakimbizi wa Burundi 278 waliorejeshwa walikuwa ni familia 70. Walivuka mpaka wa Kavimvira kati ya Congo na Burundi wakisindikizwa na maafisa wa UNHCR, Mkuu wa Tume ya Taifa kwa ajili ya Wakimbizi, Usaidizi, Hatua na Misaada.
Walisisitiza kuwa masharti ya uvunaji na kukataliwa kupewa ardhi yao wanayolima na baadhi ya raia wa Congo imepelekea uamuzi wao wa kurejea nyumbani.
Iwapo hawa raia wa Burundi wanarejea nyumbani, shirika la UNHCR kawaida huwapatia kila mkimbizi dola 200.
Takwimu kutoka UNHCR na Tume ya Taifa kwa Wakimbizi zinaonyesha kuwa kuna zaidi ya wakimbizi 430,000 raia wa Burundi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
#burundi #drc #voa
21 Apr 2025
- As an at-times unwitting star on social media, Pope Francis knew how to exploit the internet to preach the gospel, broadening the Church's appeal while modernising its communications.
21 Apr 2025
- US Defense Secretary Pete Hegseth fought back Monday -- with White House support -- against another scandal over his reported use of Signal to discuss airstrikes on Yemen, this time with his wife, brother and lawyer.
21 Apr 2025
- President William Ruto will visit Beijing and meet with President Xi Jinping as reciprocal trade tariffs between America and Beijing deepen, and shockwaves in the aftermath of the tariffs rip through the global markets.
21 Apr 2025
- With Pope Francis’s death, the immediate running of the Vatican is now in the hands of one cardinal, Dublin-born Cardinal Kevin Farrell. Known as the Camerlengo, and appointed by the pope, it is he who will lead meetings to determine the date of Francis…
21 Apr 2025
- Some cardinals who are being talked about as "papabili" to succeed Pope Francis, whose death at the age of 88 was announced by the Vatican on Monday.