Wakimbizi wa ndani waanzisha shule kwa ajili ya watoto wao Bulengo
Kulingana na Umoja wa Mataifa idadi ya wakimbizi imeongezeka sana duniani mwaka 2024 ikilinganishwa na mwaka uliyopita hasa wale wanaopoteza makazi yao na kubaki ndani ya nchi zao. Katika ripoti hii tunaangazia ubunifu wa wakazi waliobakia nchini mwao wanaopewa hifadhi katika kambi za mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Kwa Kumudu upya maisha yao huko, kundi la wakimbizi ambao walikimbia vijiji vyao kutokana na waasi wa M23, walianzisha kambini shule yao binafsi kwa ajili ya watoto wao. Mwandishi wa Sauti ya Amerika Austere Malivika kutoka Goma, alitembelea shule hiyo na hii ni ripoti yake...
#worldrefugeeday #wrd #goma #drc #unhcr #voa
22 Apr 2025
- Kenyan men have been accused of adopting outdated toxic traits.
22 Apr 2025
- Kenya's exports to the US are estimated at around Ksh109.7 billion (784 million USD).
22 Apr 2025
- The DCI revealed the case was escalated to the special unit.
23 Apr 2025
- Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
23 Apr 2025
- Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
23 Apr 2025
- The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
23 Apr 2025
- Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
23 Apr 2025
- Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
23 Apr 2025
- Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
23 Apr 2025
- MPs launch probe into kidney trade claims
23 Apr 2025
- Papal dais: A lasting tribute to Pope Francis
23 Apr 2025
- Over 19,000 documents uncollected as CS Ruku vows to streamline Huduma Centres
23 Apr 2025
- Kenya to miss papal conclave as Cardinal Njue exceeds voting age limit of 80 years